Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ebu angalia hawa wanavyojadili mambo hayawahusu😅😅😀... Mwisho wa siku watu maarufa kama wachezaji ,wanamziki ,vipaji vyote vikubwa ndio wanakula pesa na wanasiasa.Ukiweza kutokua mdini jua umestaarabika sana..dini ya mtu yeyote kwako sawa tu hata abuudu mawe au wanyama atajua yeye wewe fanya mambo yako sijui aende akanywe kikombe kwa Babu wewe endelea tu na mambo zako ..
Hata ukianza kuangalia kwa dini zao utaona ni dini fulani ndio inatawala..Ila haina maana kuwa kila kitu unaangalia kwa upande wa dini maisha yanaenda mtu yuko bussy kuangalia dini ya mtu.....
Kama wasomi jamii kuna nn hapa Tz hata hao wasomi tangu uhuru hawana tija,wengi uwezo ndio ule ule huwezi kufananisha na nchi kama china.