Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio kwa namna yoyote ile wasifike libya na kupoteza mechi.

KUANZIA MECHI YA SIMBA NA YA WALIBYA KUNA WATU KAMA VYOMBO VYA SERIKALI VIKIAMUA KUANGALIA MOVEMENTS YA PESA KWENYE ACCOUNTS,SIMU AU KU-TAP(KU TREPU) SIMU ZAO WATASHANGAA SANA SIYO KWA VIONGOZI HADI WACHEZAJI WALIOHUSIKA JANA NA WALE KINA MURA WA MUSOMA

Screen Shot 2021-10-25 at 20.15.58.png
 
Kama wangehongwa si wangeenda wakacheze hovyo ili watolewe, hizi story tu za mitandaoni
zinaongelewa libya huko siyo huku, hongo ya aina hiyo inaishiaga kwa viongozi ukisema team iende hivyohivyo na wachezaji hawajui si wanaweza kwenda kujituma? hongo ya wachezaji ni kama yale maduka ya simba jana yalivyokuwa yanaachia magoli especially goal la pili
 
Kama wamepewa mzigo mkubwa zaidi ya Bingwa wa shirikisho haina shida 🤣🤣joke

Nb:Football ni fea plei, Biashara watakuwa wametenda dhambi kubwa sana
 
Ulipoweka match ya Biashara na Simba ndio umeharibu hapo. Mnataka kuichafua Biashara kisa waliwakazia,subirini Polisi wawapige virungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
nilidhani wakenya wote wanajua kiingereza, umesoma tweet ya Nuhu? hizo ni story zinazoongelewa huko benghazi na Tripoli, wa libya wanasema biashara wamehongwa hela nyingi sana
 
nilidhani wakenya wote wanajua kiingereza, umesoma tweet ya Nuhu? hizo ni story zinazoongelewa huko benghazi na Tripoli, wa libya wanasema biashara wamehongwa hela nyingi sana
Lete ushahidi hapa wa hayo unayozungumza. Pia ya kwenu tuu yanewashinda kuleta ushahidi kuwa jana mlihujumiwa mnadandia ya Biashara.
 
Lete ushahidi hapa wa hayo unayozungumza. Pia ya kwenu tuu yanewashinda kuleta ushahidi kuwa jana mlihujumiwa mnadandia ya Biashara.
mpumbavu wewe unaambiwa hizo ni story zilizoko libya na tweet ya Nuhu iko hapo kama hujui kiingereza usiniletee shida zako hapa
 
mpumbavu wewe unaambiwa hizo ni story zilizoko libya na tweet ya Nuhu iko hapo kama hujui kiingereza usiniletee shida zako hapa
Hasira zako mpelekee bwana wako Mwamedi anaewalipa ujira wa juice kuja kumpamba mitandaoni.
 
Back
Top Bottom