Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

Mtoto ambae mwanaume hakumjua!! Na hata angekuwa anamjua kazaliwa kabla ya mahusiano yao,, binti bado mtoto hajakutana na wanaume wenye kupiga matukio mazito,, wifi na mamkwe wako sahihi ukitaka kujua km wako sahihi vaa viatu vyao,

mwanaume/dogo fala sana nae akili zake bado
 
Tena chekechea za zamani. Siku hizi wana akili na hawawezi kuamini. Uvamie tu mtu njiani eti huyu mtoto kafanana na fulani na uamue kufuatilia! Tena mtoto mdogo! Umri ambao unaweza kuhisi ni mtu anapokuwa mtu mzima. Kwenye age ya utoto siyo rahisi uone mtoto ambae hata humjui eti anafanana na ndugu yako na uchukuwe uamuzi wa kupeleleza!
Soma vizuri nimesema alivyokutananae alipiga simu home akawaambia
Na aliporudi home aliongea zaidi na waliamua kumuita kaka yao na kumuuliza na alikili ni kweli alikuwa na mahusiano ya ngono na huyo dada.
Soma vizuri kaka.
 
Just imagine mtu anatoka hapa anapanda Basi mpaka mwanza, anaenda mpaka mitaa aliyokua anaishe mdogo wake kipindi anasoma ili akamfananishe mtu........au basi
Soma vizuri alienda mwanza kuna kazi walikuwa wanafanya huko mwanza. Soma vizuri uelewe.
 
Mtoto ambae mwanaume hakumjua!! Na hata angekuwa anamjua kazaliwa kabla ya mahusiano yao,, binti bado mtoto hajakutana na wanaume wenye kupiga matukio mazito,, wifi na mamkwe wako sahihi ukitaka kujua km wako sahihi vaa viatu vyao,

mwanaume/dogo fala sana nae akili zake bado
Ila dada yangu yule anajutia sana kwa tukio kile mpaka leo. Kihelehele chake cha kutoa taarifa.
 
Angekua cute wife ndoa isingevunjika hiyo, angewaza nani tena atamuoa
 
Mtoto ambae mwanaume hakumjua!! Na hata angekuwa anamjua kazaliwa kabla ya mahusiano yao,, binti bado mtoto hajakutana na wanaume wenye kupiga matukio mazito,, wifi na mamkwe wako sahihi ukitaka kujua km wako sahihi vaa viatu vyao,

mwanaume/dogo fala sana nae akili zake bado
Ila dear hapa makubaliano yamevunjwa, but mke ilibidi atumie busara tyuuh.
 
Huyo binti utoto ndo ulikuwa unamsumbua, haiwezekani mtu kuvunja ndoa kwa mambo madogo Kama hayo.
Angekaa chini na mumewe walizungumzie Hilo suala vizuri kuliko kutoa talaka.
 
Hii mbona kama umeitunga na huyo jamaa ni boya ukane damu yako kwa sababu ya mke ambaye anaweza kuacha muda wowote ila mtoto atabaki kuwa damu yako
Hats ukiikana si inabaki kuwa damu yako tu, so kuna tatizo gani ukiikana kwa lengo la kuokoa ndoa?
 
Mtoto ambae mwanaume hakumjua!! Na hata angekuwa anamjua kazaliwa kabla ya mahusiano yao,, binti bado mtoto hajakutana na wanaume wenye kupiga matukio mazito,, wifi na mamkwe wako sahihi ukitaka kujua km wako sahihi vaa viatu vyao,

mwanaume/dogo fala sana nae akili zake bado
Na is hatoweza tayari my
 
Nikweli mlikuwa mnajua kila kitu..Ni uongo kusema eti Dada yenu alikuwa anazurula akakutana na mtoto anafanana na kaka yake.. uongo uongo
Soma vizuri nimesema alienda mwanza kikazi , na mdogo wake alisoma chuo miaka mitatau mwanza.
Sawa usikurupuke my
 
Back
Top Bottom