Walimu acheni kuwafundisha watoto wetu mabongo fleva kwenye mahafali za shule

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,870
Reaction score
6,871
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili.

Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto anakata viuno na kuimba mabongo fleva eti ndio burudani siku ya mahafali.Manyimbo yenyewe mnayowafundisha unakuta yana matusi.

Kama ni kuimba waimbe wenyewe nyimbo zao walizofundishwa za maadili lakini sio kuwakaririsha sijui saparapa na mabongo fleva.

Content za kisomi zipo nyingi sana kwa ajili ya burudani na sio hayo mabongo fleva.
 
😀😀watoto wenyewe wanakua tayari wanazijua walimu wanafanya tu kuwaambia wachague nyimbo wazotaka wanaendelezea hapohapo
Wanaweza kujua baadhi lakini sio wote. Ila nyinyi sasa mnawafanya na wale ambao walikuwa hawajui wajue.
 
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili.

Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto anakata viuno na kuimba mabongo fleva eti ndio burudani siku ya mahafali.Manyimbo yenyewe mnayowafundisha unakuta yana matusi.

Kama ni kuimba waimbe wenyewe nyimbo zao walizofundishwa za maadili lakini sio kuwakaririsha sijui saparapa na mabongo fleva.

Content za kisomi zipo nyingi sana kwa ajili ya burudani na sio hayo mabongo fleva.
Ulichoongea kina mantiki ila ukija kwenye ukweli hakitekelezeki. Yaani hata mzazi umzuie mtoto kuangalia hizo nyimbo nyumbani kwako, akienda dukani atazisikiliza! Jirani akifungulia mziki kwa sauti ya juu atazisikiliza! Na huu ni utandawazi. Hivyo huwezi kumtenga mtoto na hii dunia ya sasa.

Utawalaumu tu walimu, ila ukweli ndiyo huo. Tupo kwenye dunia ya utandawazi! Hizo nyimbo atazisikia tu, na mwisho wa siku atazipenda na pia kuzicheza pale inapobidi.
 
Acha watoto waimbe wakate mauno sio shida. Miaka ya nyuma maeneo yalikuwa makubwa watoto walikuwa wanafanya michezo mbali lakin kwa sasa sehem ni finyu wanatumia walichonacho my friend. Ila kama haikupendezi piga hatua hadi shulen uende uombe walimu kwamba hupendi watoto wako wajihusishe na mziki kuliko kusema tanzania nzima. Kuna mzazi anpenda mziki kuliko hata mpira huoni hapo hatakuelewa ndugu.
 
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili.

Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto anakata viuno na kuimba mabongo fleva eti ndio burudani siku ya mahafali.Manyimbo yenyewe mnayowafundisha unakuta yana matusi.

Kama ni kuimba waimbe wenyewe nyimbo zao walizofundishwa za maadili lakini sio kuwakaririsha sijui saparapa na mabongo fleva.

Content za kisomi zipo nyingi sana kwa ajili ya burudani na sio hayo mabongo fleva.
Hivi unadhani unaweza kuzuia watoto wa sasa kutizama hizo nyimbo kwa maisha ya sasa, una ajisumbua sana
 
Acha watoto waimbe wakate mauno sio shida. Miaka ya nyuma maeneo yalikuwa makubwa watoto walikuwa wanafanya michezo mbali lakin kwa sasa sehem ni finyu wanatumia walichonacho my friend. Ila kama haikupendezi piga hatua hadi shulen uende uombe walimu kwamba hupendi watoto wako wajihusishe na mziki kuliko kusema tanzania nzima. Kuna mzazi anpenda mziki kuliko hata mpira huoni hapo hatakuelewa ndugu.
Kama ni mziki wenye maadili hakuna shida ila kwa nyimbo za matusi sio sawa.
 
Back
Top Bottom