Walimu acheni kuwafundisha watoto wetu mabongo fleva kwenye mahafali za shule

Walimu acheni kuwafundisha watoto wetu mabongo fleva kwenye mahafali za shule

Wa kwangu nmemkuta aanjipa burudani hapa 🎷 Mwenzenu mm sijui kutongoza wakijipitisha mi nmwaga hela ahsante📢😁😁

Nikishia kutikisa kichwa tu
 
N maamuzi tuu

N sawa na sasa hv nilivyoamua sitak kuzini Mpaka ndoa, mke wangu wa ndoa ndiye atakuwa mtu wa kwanza kunifanyia Unboxing uboo wangu 😎
Nywanoko!!

Tafuta kwanza pa kukaa hata hapa!😁

E152964E-C6A4-4927-9F62-7F344A510649.jpeg
 
Tulisha washauri msizae, mnaona sasa mnaanza kupata usumbufu usio wa lazima...🤣
Mie kuna mmoja nimemwambia nataka mtoto, akanijibu kwamba yeye bado.... nami nikamwmbia hata hivyo sikua na mpango wa kuzaa nae...😜
 
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili.

Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto anakata viuno na kuimba mabongo fleva eti ndio burudani siku ya mahafali.Manyimbo yenyewe mnayowafundisha unakuta yana matusi.

Kama ni kuimba waimbe wenyewe nyimbo zao walizofundishwa za maadili lakini sio kuwakaririsha sijui saparapa na mabongo fleva.

Content za kisomi zipo nyingi sana kwa ajili ya burudani na sio hayo mabongo fleva.

Watoto wa marafiki pia makundi
Watoto kuna muda haupo nao nyumbani
 
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili.

Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto anakata viuno na kuimba mabongo fleva eti ndio burudani siku ya mahafali.Manyimbo yenyewe mnayowafundisha unakuta yana matusi.

Kama ni kuimba waimbe wenyewe nyimbo zao walizofundishwa za maadili lakini sio kuwakaririsha sijui saparapa na mabongo fleva.

Content za kisomi zipo nyingi sana kwa ajili ya burudani na sio hayo mabongo fleva.
Umeuandika huu ujumbe kwa uwezo wa Mungu
 
Watanzania Kwa kuandika ujinga hawajambo,mtoto anafundishwa upumbavu nyumbani mnaona kama walimu ndiyo wa kuwatupia uzembe wenu, graduation ni siku Moja na mazoezi ya kucheza hayazidi siku mbili,nani anaweza kumfundisha huyo mtoto wako Mjinga asiyeweza kukariri hata definition Moja kucheza ndani ya siku mbili kama siyo wewe mzazi mpumbavu.
Matako yako
 
Back
Top Bottom