Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
- Thread starter
-
- #21
Uelewa gani? Mngekuwa mnatapeliwa na vishoka pensheni zenu uzeeni?Kwani wewe unafikiri unaakili zaidi ya waalimu wote mkuu?mimi ni mwalimu lakini huwezi kuingia hata robo kwenye uelewa wangu mkuu.hata hicho unachokizungumza haulijua kiundani kivile.
Nenda pale sanu imboru wanatumia chatgptUnaamini kuna mwanafunzi wa huku Sanu Guwang atakua anatumia chat gpt?
Sikua na maana afanye biashara ya mihogo,ajue namna gani biashara huendeshwa,Huyu dogo akiwezeshwa akapata hata scholarship anaweza kufuata ndoto yake na kuwa astronaut, kwanini afanye biashara ya mihogo wakati ana ndoto ya kuishi Mars
Sanu hii hii ambayo network kushika tu ni ishu? 😅Nenda pale sanu imboru wanatumia chatgpt
hapo sanu unatafta network kwakutumia niniSanu hii hii ambayo network kushika tu ni ishu? 😅
Mkuu una maanisha ma profesa wote Duniani wamezaliwa na wazazi wasomi? wazazi wa profesa lipumba walikuwa na degree ngapi?Sasa wewe unapeleka watoto English Medium, wanajifunza kwa kukariri tu, wakati msingi wa elimu bora huanzia nyumbani. Unajiitaje mzazi wa mtoto msomi ilhali huna hata shelf moja ya vitabu nyumbani? Ni wakati wa kubadilika – si kwa walimu tu bali pia kwa wazazi! Tukumbuke, elimu bora huanzia katika mazingira tunayowapa watoto wetu. Tubadilike!
Kina Lipumba wachache sana tena unakuta walipitia mazingira ambayo kwa bahati yakawafikisha mbali, mimi nataka ikija kwenye suala la kupalilia vichwa konki isiwe tu bahati bali mazingira wezeshi ya kufanikisha hiloMkuu una maanisha ma profesa wote Duniani wamezaliwa na wazazi wasomi? wazazi wa profesa lipumba walikuwa na degree ngapi?
Mbona kuna wazaz hawajui kusoma wala kuandika lakini watoto wao ni wasomi hatari na ni mifano mingi tu?
Umesomeka mkuuKina Lipumba wachache sana tena unakuta walipitia mazingira ambayo kwa bahati yakawafikisha mbali, mimi nataka ikija kwenye suala la kupalilia vichwa konki isiwe tu bahati bali mazingira wezeshi ya kufanikisha hilo
Hawana maajabuAisee hakuna kada ina dharaulika kama ya ualimu nchini Tanzania. Najiulizaga hii inasababishwa na nn hasa?
Mitaala inabidi iwe inanyumbuka kutokana na taarifa mpya, utakaririshaje watoto taarifa zilizopitwa na wakati ?Sasa kwa mtazamo wako elimu inaendeshwa kiholela tu..
Kuna vitabu vya kiada na ziada..hivi vya ziada ni special kwa kuongeza maarifa..
Sasa nikuulize vitabu vya kiada vinasema kuna sayari tisa kuu mtoto yeye akajaza elfu moja kwa mujibu wa google je atakua amepata hilo swali?