WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu wa sekondari njoo kasulu mm niende morogoro,mwanza au dodoma mjini,tuwasiliane# 0714963829 au 0768183143.
 
Wanajamvi asalam

mchumba angu ni mwl.alishafanya njia halali za kuhama lkn mkurugenz anamuwekea ngumu yaan vikwazo vingi

nimemwambia mchumba aache kwenda ofsin kwake

naomben ushaur njia gan rahis ya kumtoa mwandani wangu kule kigoma wilaya ya kasulu? Ili aje dodoma,arusha,singida au morogoro

napata ugumu kuifata papuch kila mara kwan ni gharama sana kwenda kigoma

nisaidien wataalamu,,kwa atakayefaniksha kuna zawad
 
Ndugu zangu naitwa Angelina Abel Mauza. mwalimu katika shule ya secondary Kiagata. Shule ilikuwa wilaya ya Musoma vijijini lakini kwa sasa ipo wilaya ya Butiama. ninamtafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka Arusha mjini, wilaya ya Arumeru mashariki, Arumeru magharibi, monduli mjini, karatu mjini, moshi mjini mimi niende sehemu tajwa hapo juu, na yeye aje Butihama. kwa mawasiliano naomba unipigie numba 0789- 565955 au 0768-565955 au 0788-073049 au 0769-073049. asanteni sana kwa ushirikiano wenu wadau.
 
Naitwa Angelina Abel idara ya secondary. natokea h/mashauri ya Butihama. natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka sehemu zifuatazo; Arusha mjini, Moshi mjini, Karatu Mjini, Monduli mjini na Arumeru magh na Arumeru mashariki. Kwa mawasiliano zaidi piga 0789-565955 au 0768-565955 au 0788-073049 au 0769-073049.
 
mwl idara ya sec. wilaya ya Ulanga morogoro , yeyote anaetaka kuja huku kutoka Tanga, morogoro manispaa au pwani....nitumie PM
 
Hellow JF kama kuna mwl yupo dar anataka kuja morogoro Municipal anitafute:israel:
 
Mwl. Idara ya sekondari niko KYERWA-KAGERA anayetaka tubadilishane kutoka mikoa ya NJOMBE, IRINGA au MBEYA. 2WACLIANE. 0766742573 au 0683364141
 
MWL IDARA YA SEK. NIKO KYERWA- KAGERA. NATAFUTA WA KUBADILISHANA NAYE KUTOKA NJOMBE, IRINGA au MBEYA. Contact: 0766742573 au 0683364141
 
nipo mtwara kwenda temeke manispaa nina tsd namb miaka 5 kazin namb ya simu 0714580404
 
Mwl Grace yupo TABORA MANISPAA (sec) ANATAFUTA MWL wa kubadilishana nae kutoka SUMBAWANGA na 0756231236 au 0782578408
 
Mwl idara sec yupo KYERWA (W) karagwe mkoani KAGERA Anatafu mtu wa kubadilishana nae kutoka MBEYA,DODOMA,PWANI,RUVUMA AU SINGIDA Na 0756231236 au.0757644877.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…