Jamani napenda kuuliza,mm ni mwajiriwa mpya ngazi ya msingi.
tayari nimeshapata mtu wa kybadilishana naye,swali je,naruhusiwa kuanza taratibu za kubadilishana bila kuwa na tsd number?
 
Namuwekea tangazo mwalimu rafiki yangu kama kuna mtu yupo interested naomba awasiliane naye NADHILI SADALLAH mwalimu wa sekondari halmashauri Ya wilaya ya Babati anafundisha Kiingereza na Kiswahili anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje babati na yeye Nadhili aende Tabora iwe Nzega, Tabora Manispaa au Kaliua mpigie simu 0784 197685 / 0652 744906 Whatsapp mcheck 0758 928185 e-mail Sadallahnadhili@gmail.com
 

Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayao iliyoko Wilaya ya Ludewa-Njombe natafuta mwl wa kubadilishana nae, yeye aje Wilaya ya Ludewa mimi niende Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Nina miaka tisa kazini. Mwenye interest tuwasiliane PM
 
Walimu habarini Za wakati huu? Nahitaji mwalimu wakubadilishana nae aje Mkirira sekondari iliyopo musoma vijijini kilomita Kama 5 Kutoka musoma mjini ........awe yupo arusha/kilimanjaro ....idara sekondari maths Na chemistry...aje PM
 
Njoo Tabora Wilaya ya Sikonge-Mimi nije NJOMBE, MBEYA, RUVUMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…