Wadau kwa mwenye taarifa za uhamisho atujuze tafadhali. Ni muda sasa uhamisho hautoki, wakubwa DOM hawasemi lolote hata jana nilitegemea mh.waziri atazungumza kitu lakini wapi. Tumesubiri hadi tumechoka sasa...... au ndio sheria za kiutumishi zinazohusiana na haki ya kuhama kwa mtumishi zimebadilishwa nini?
 
Nahitaji kuhamia songea mjini, nipo morogoro mjini.,idara sekondari,aliyetayari kuja Moro nami kwenda Songea mjini,Please PM
 
Nahitaji kuhamia songea mjini, nipo morogoro mjini.,idara sekondari,aliyetayari kuja Moro nami kwenda Songea mjini,Please PM
Mkuu kuna mwalimu ypo dodoma vipi unahitaji?

Namba zake 0714111061
 
Anayehitaji kuja Tarime , shirati
Idara msingi
0625803444
 
Mm ni mwalimu nipo Tarime , Utegi idara ya msingi ...
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kwa Dodoma, morogoro, Moshi au Arusha
Nicheki kwa 0659200302
 
Jaman kuna majina yanazunguka mitandaoni kuwa niya uhamisho yametoka Tamisemi, vip kama kuna mwenye taarifa zaidi tafadhali atusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…