Mpenda kazi
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 178
- 104
Wadau kwa mwenye taarifa za uhamisho atujuze tafadhali. Ni muda sasa uhamisho hautoki, wakubwa DOM hawasemi lolote hata jana nilitegemea mh.waziri atazungumza kitu lakini wapi. Tumesubiri hadi tumechoka sasa...... au ndio sheria za kiutumishi zinazohusiana na haki ya kuhama kwa mtumishi zimebadilishwa nini?