WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Walimu wa msingi mnakwama wapi jamani njooni Ruangwa mfaidi fursa... walimu watatu wanatafuta wa kubadilishana nao kutoka mkoa wowote ilimradi isiwe Lindi Mtwara wala Ruvuma... lengo wasogee karibu na nyumbani wana miradi yao, wala siyo kwamba kuna la zaidi


Njoo pm
 
Back
Top Bottom