Mwalimu Njoo Geita_Bukombe,nije Bagamoyo,Kibaha,Kisarawe,Moro Municupal.
Geita_Bukombe ni jirani na;
Katoro_centre ya kibiashara inayokua kwa kasi ya 5G kibiashara,miundo mbinu na makazi
Runzewe_centre inayokua kwa kasi ya 5G,kibiashara na makazi.
Kahama_miongoni mwa wilaya tajiri kwa kanda ya ziwa(dhahabu+biashara)
Chato_dhahabu,biashara,utalii na uvuvi
Geita Mjini-Makao Makuu ya Mkoa_dhahabu,biashara na utalii
Mwanza_Jiji jirani na Geita,Ndio Jiji pekee kwa mikoa ya kanda ya ziwa,fursa ni nyingi Mwanza hazielezeki[emoji95]
Biharamulo_fursa ni kilimo,biashara na ufugaji
Ngara_kilimo,biashara na ufugaji
Kakonko_fursa ni kilimo,biashara na ufugaji
Kibondo_fursa ni kilimo,biashara na ufugaji
[emoji818]Mwalimu toka huko ulipo,njoo Kanda ya Ziwa na maeneo jirani utulize akili[emoji85][emoji3]
Idara_Sekondari (GS/CIVICS &HIST)
 
Sasa kam kuna fursa kibao..mbona unapakimbia...acha hizo..wewe...naona mmeanza siasa kwenye kutafuta wenza wa kubadilisha vituo vya kazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa kam kuna fursa kibao..mbona unapakimbia...acha hizo..wewe...naona mmeanza siasa kwenye kutafuta wenza wa kubadilisha vituo vya kazi.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu watu wanahama kwa sababu mbalimbali,hilo la fursa ni upande mmoja,sabubu chache miongoni mwa sababu nyingi zinazojibu swali lako kwann nataka kuhama huko.
....
Katiba Mpya ni Lazima
 
Natafuta MTU wa kuja handeni tanga Mimi niende dar, morogoro, pwani, muheza, korogwe masomo maths na geography au dar idara ya sec 0719152715, 0738253942
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…