Hivi kwa wale wasiobadilishana na mtu kuna orodha nyingine inakuja au ikoje hii?
 
Njoo Nyasa nije Iringa manispaa au kilolo idara ya secondary.
 
Nenda Iringa DC aje Dar es Salaam/Pwani wilaya yoyote ile Idara ya Msingi
 
Badilisha na mazingira dogo dah!
Njoo Nyasa nije Iringa manispaa au kilolo idara ya secondary.
 
Njoo KASULU MJINI. Nije Dar es salaam, Tanga,Morogoro au Pwani.Wilaya yeyote.
Mawasiliano. 0652180400
 
Njoo KASULU MJINI. Nije Dar es salaam, Tanga,Morogoro au Pwani.Wilaya yeyote. Idara ya Secondary.
Mawasiliano. 0652180400
 
Nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 2019 lakini ajabu ni kwamba sijawahi pata mtu anataka kuja huku nilipo... Cha kushangaza zaidi mbali ya mimi kutokupata lakini hata kumuona tu huyo anayetaka kuja Ruangwa sijawahi!
Jipe moyo mkuu!! Mimi nilikuwa liwale - lindi na hili jukwaa lilinipatia mtu wa kuhama kwa kubafilishana,sasa niko kanda pendwa,endelea kupost one day yes!!
 
Nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 2019 lakini ajabu ni kwamba sijawahi pata mtu anataka kuja huku nilipo... Cha kushangaza zaidi mbali ya mimi kutokupata lakini hata kumuona tu huyo anayetaka kuja Ruangwa sijawahi!
Kuna maeneo si rahisi kuhamia hata wenyeji hawapataki
We fanya TU uhamisho kimtindo ila sip kubadilishana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…