Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Orodha View attachment orodha-ya-waliopata-vibali-vya-uhamisho-septemba-disemba-2022-or-tamisemi.pdfMwenye link, anayo ayaweke humu
Njoo Nyasa nije Iringa manispaa au kilolo idara ya secondary.Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Jipe moyo mkuu!! Mimi nilikuwa liwale - lindi na hili jukwaa lilinipatia mtu wa kuhama kwa kubafilishana,sasa niko kanda pendwa,endelea kupost one day yes!!Nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 2019 lakini ajabu ni kwamba sijawahi pata mtu anataka kuja huku nilipo... Cha kushangaza zaidi mbali ya mimi kutokupata lakini hata kumuona tu huyo anayetaka kuja Ruangwa sijawahi!
Kuna maeneo si rahisi kuhamia hata wenyeji hawapatakiNimeanza kufuatilia huu uzi tokea 2019 lakini ajabu ni kwamba sijawahi pata mtu anataka kuja huku nilipo... Cha kushangaza zaidi mbali ya mimi kutokupata lakini hata kumuona tu huyo anayetaka kuja Ruangwa sijawahi!