Hongera ila huko kupata mtihaniJipe moyo mkuu!! Mimi nilikuwa liwale - lindi na hili jukwaa lilinipatia mtu wa kuhama kwa kubafilishana,sasa niko kanda pendwa,endelea kupost one day yes!!
Mzee wa Liverpool😇upo mpaka huku.....Njoo mtama lind nije mbeya, wilaya yoyote, rukwa , katavi, iringa ..
I darasa secondary Mathematics,
Njoo bariadi simiyuNJOO PWANI RUFIJI NIJE GEITA, KAHAMA AU BIHARAMLO
Huyu? Liverpool VPNMzee wa Liverpool😇upo mpaka huku.....
Kachanganya mafaili huyu
Kutoka rufiji mpaka dar sh ngapi? Mimi nipo GeitaNJOO PWANI RUFIJI NIJE GEITA, KAHAMA AU BIHARAMLO
Elfu kumi tu kuanzia kituoni kwanguKutoka rufiji mpaka dar sh ngapi? Mimi nipo geita
Hadi miezi 2Hivi wenye uzoefu inaweza kuchukua maximum muda gani kupata barua ya uhamisho baada ya majina kutoka?
Msingi au secondary?Elfu kumi tu kuanzia kituoni kwangu
MsingiMsingi au secondary?
Chief unahamia wapi?Ndugu walimu Kuna mwl ameshapata barua ya kuhama baada ya majina kutoka
Iringa hupendi mkuuMwalimu wa sekondari aje mwanza mjini(nyamagana)mi niende dodoma mjini.mtu wa dodoma mjini nichek kwenye 0713591791 au 07523152300 au 0786344770.
Iringa hupendi?Mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu nipo nyamagana mwanza ,nataka mwalimu wa kubadilishana nae kutoka kibaha pwani ama dar es salaam manispaa ya kinondoni. Naomba tuwasiliane kwa ambaye yuko tayari 0763427144.