WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Geita_Bukombe nije Pwani,Dsm,Moro Mjini
Sec Esucation_Arts
Njoo Dm tuyajenge
 
Mwalimu anatafutwa! Mwalimu anatafuta mwalimu mwenzake wakubadilishana vituo vya kazi. Yeye aje Songea mjini na mwalimu (wa songea mjini) ahamie Arusha wilaya za Arusha mjini, Arusha vijijini, Meru, Longido, au Monduli. Kwamawasiliano ni 0682744740 mpigie mwalimu mwenyewe!
IDARA ELIMU SEKONDARI

NJOO
SONGEA MANISPAA, nije Arusha popote
 
Jamani anayeweza kuja NYANG'HWALE- Geita Mimi niende KAHAMA - SHY Au Mbogwe, Bukombe za Geita. Idara ELIMU MSINGI.
 
Kwa niaba anatafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi aje geita wilaya ya mbogwe yeye aende tanga wilaya yoyote, chalinze, kibaha au pwani wilaya yoyote idara msingi
07191512715
 
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo Cha Kazi idara ya Sekondari.

Njoo Tandahimba, nije Mbalari, Iringa, Njombe au mbeya

Ahsanteni
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu nipo nyamagana mwanza ,nataka mwalimu wa kubadilishana nae kutoka kibaha pwani ama dar es salaam manispaa ya kinondoni. Naomba tuwasiliane kwa ambaye yuko tayari 0763427144.
Iringa hupendi?
 
Back
Top Bottom