Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Walimu wengi vichaaAcheni upumbavu namba mtumiane pm huko walimu muda mwingine tunazingua sana Kuna haja gani ya kujichoresha huku tunasababisha wenyewe mazingira ya kudharaurika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matahila hayanaga akiliWalimu wengi vichaa
nakaziaNi matahila hayanaga akili
Ndio mkuu nimeongea naeKuna mtu amekupigia simu naona umeshaona mkuu
Kwa niaba Njoo kasulu kigomaNjoo Bahi - Dodoma nije Shinyanga....idara ya sekondari masomo chemistry na biology
Njoo uvinza nije darNjoo Dar nije kigoma mjini au kasulu