me natafuta mtu wa kubadilishana kutoka mbeya au njombe me nipo wilaya ya butiama ndo nimepangiwa ajira uku mtu ambaye yuko tayari tuwasiliane kwa 0768406872
Mwlm npo TABORA-UYUI, (idara ya msingi) natafuta mtu wa kubadilishana kutoka mikoa ya MBEYA,NJOMBE,IRINGA,MOROGORO wilaya yeyote namba ya cm ni 0753742927 au 0789923082
mwl npo KIGOMA VIJIJINI (idara ya msingi) naomba kubadilishana kuja MIKOA YA MBEYA wilaya yeyote ile icpokuwa Ileje, mawasiliano: 0762291842/0654508720
Mwl Anna idara ya sekondary yupo h/shauri ya wilaya ya Rorya anatafuta mwl wa kubadilisha nae kutoka Mkuranga, kibaha, temeke, kinondoni au Ilala mawasiliano 0683900853
Mwl,yupo halimashauri ya mji wa GEITA idara SEC anatafuta mwenzake mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha MOROGORO,IRINGA AU MBEA Na:
0756231236 au
0755550408
niko tunduru idara ya sekondari. kwa anayeishi NYASA, MBINGA, SONGEA, NJOMBE, LUDEWA AU MBEYA na tubadilishane vituo vya kazi wajemeni nimekuchoka huku. 0766538148/0682136570.