WALIMU WENZANGU
WALE WAPYA KWENYE HII KAZI KAMA UNATAKA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI
UMEMPATA MWENZIO WA KUBADILISHANA NAE VITU MUHIMU NI:
1>barua ya ajira
2>kitambulisho
3>Slp ya mshahara
4>barua zenu mbili.
5>Check no
VITU VISIVYO VYA LAZIMA ni:
1>barua ya kuthibitishwa
2>TSD no
3>Anuani ya MEK.
Kama unataka maelekezo zaidi nitafute kwa no
0756231236/0689270867/0719184787 utasaidiwa.
Pia kama haujui namna ya kuweka poct JF usihangaike ukaliwa pesa zako
bure nipo hapa mwl mwenzio kupitia jf nimehama nitafute nitakuwekea
TANGAZO.
Kwa wale walioanzamchakato pia muamini mtafanikiwa.