YUSUPH SHEKILINDI
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 230
- 4
WALIMU WENZANGU WALE WAPYA KWENYE HII KAZI KAMA UNATAKA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI UMEMPATA MWENZIO WA KUBADILISHANA NAE VITU MUHIMU NI:
1>barua ya ajira
2>kitambulisho
3>Slp ya mshahara
4>barua zenu mbili.
5>Check no
VITU VISIVYO VYA LAZIMA ni:
1>barua ya kuthibitishwa
2>TSD no
3>Anuani ya MEK.
Kama unataka maelekezo zaidi nitafute kwa no 0756231236/0689270867/0719184787 utasaidiwa.
Pia kama haujui namna ya kuweka poct JF usihangaike ukaliwa pesa zako bure nipo hapa mwl mwenzio kupitia jf nimehama nitafute nitakuwekea TANGAZO.
Kwa wale walioanzamchakato pia muamini mtafanikiwa.

mim mwl msingi nipo KALIUA nahtaji kwenda NZEGA KAHAMA GEITA TABORA SHINYANGA kwa alie tayar kuja KALIUA tuwasiliane
0684308842
0764417614
njoo halmashauri ya bariadi mje, nije kasulu, idara ya sekondari. 0769258271Njoo kasulu nije singida mjin,au babat mjin