WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Jihadharini na brbm ni tapeli huyu mtu,kila mkoa yupo yeye na kila mkoa anataka yeye. Nb mods muangalien brbm
 
E.G.Msonge 16:09 19/04/2014
0765945869 davidmsonge@gmail.com ....nahitaji mwalimu yeyote idara ya
sekondari tubadilishane vituo vya kazi, AJE KASULU-KIGOMA, awe anatoka
MWANZA/GEITA....!
 
0765945869 nahitaji mwl. Kutoka mkoa wa Mwanza/ Geita, aje Kasulu...

Tuwasiliane kwa namba nilizoweka hapo juu au kwa njia ya E-mail (davidmsonge@gmail.com)
 
wewe ni tapeli,mara uko moro,mara dodoma,mara shinyanga,then watu wa kuja kwako wakijitokeza hujibu. Mods naomba mumuangalie huyu mtu ikiwezekana apige burn.

mtunza aman nakuunga mkono huyo jamaa ni tapeli apigwe burn mapema sana
 
Mimi nipo old shinyanga nataka kuja dar kibaha au mkuranga tuwasiliane 0713285548
 
Natafuta Mwalimu wa Msingi anayetoka Moshi, Rombo au Hai ili yeye aende Wilaya ya Bukombe
 
Njoo TABORA URAMBO IDARA YA SEC nije GAILO,KILOSA,MVOMERO,KILOMBERO,ULANGA,MUFINDI,KILOLO,RUNGWE,BUSOKELO,MBOZI,AU NJOMBE, contact 0688487920
 
MTUNZA AMANI;9294399
naomba unielewe kuna watu wanatafuta watu wa kubadilishana nao ila hawajajiunga Jf hivyo wananitumia niwatolee tangazo lao nami nafanya vile na wengi humu Jf wanafanya vile hivyo issue ya UTAPELI inatoka wapi?
 
Mwl HASHIM idara SEC yupo TARIME MJINI anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha DODOMA,IRINGA,MOROGORO AU SINGIDA.
Na 0756231236
0769984920/
0718725367
 
mtunza amani;9294399
naomba unielewe kuna watu wanatafuta watu wa kubadilishana nao ila hawajajiunga jf hivyo wananitumia niwatolee tangazo lao nami nafanya vile na wengi humu jf wanafanya vile hivyo issue ya utapeli inatoka wapi?

nakushaur ukimwandikia mtu usitumie nafsi yako kwan tumetilia mashaka kwan humu washajitokeza matapeli tayar
 
Haya Mkuu! npe hyo anayetoka Halmashauri ya Mbinga, Songea, Njombe na Mji Mdogo Makambako aje Halmashauri ya Mbogwe na Bukombe mkoani Geita. Idara ya msingi. Pitia 0763053058
 
Wajameni niko ARUSHA/KARATU idara ya msingi tubadilishane kituo cha kazi jamen mimi nije MWANZA MAGU, ILEMELA AU SENGEREMA NAMBA YA MAWASILIANO HII HAPA_0754039566 NIDUNGIE BASI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…