WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

idara sekondari, njoo ufanye kazi main road ya tunduma to swanga nije home iringa au njombe na wilaya zake.
 
Habari za leo wanaukumbi?
Mimi ni mwalimu wa sekondari hapa Ukerewe Mwanza.Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Morogoro,Tanga.Pwani na Dar.Aliye tayari tuwasiliane 0757920263 na 0718073753.Karibuni sana Ukerewe,,,Ukerewe ya sasa sio sawa na ya zamani..
 
Njoo halmashaur ya MISUNGWI-MWANZA mm nije Halmashaur za RUNGWE, BUSOKELO au KYELA (Idara ya msingi) mawasiliano: 0785198994 au 0765752813
 
Njoo halmashaur ya MISUNGWI-MWANZA mm nije halmashaur ya RUNGWE, BUSOKELO au KYELA (idara ya msingi) mawasiliano: 0785198994 au 0765752813
 
Njoo NJOMBE-MJI mm nije RUNGWE, BUSOKELO au KYELA idara ya msingi mawasiliano 0764623738 au 0715598343
 
Njoo NJOMBE MJI mm nije RUNGWE,BUSOKELO, au KYELA idara ya msingi mawasiliano: 0764623738 au 0715598343
 
Mwalimu aje TABORA URAMBO MJINI nije wilaya yoyote DODOMA,MOROGORO,IRINGA,NJOMBE,MBEYA,PWANI.Idara ya sek. 0688487920
 
njoo mugumu mimi nije arusha mjin,mosh mjin au babat mjn
 
Mwalimu sec. aje TABORA URAMBO MJINI mimi nije DODOMA,MOROGORO,PWANI,IRINGA,NJOMBE,MBEYA,RUVUMA NA RUKWA. Ni wilaya yoyote toka mikoa hiyo. Tel.0688487920
 
Yupo Mbeya-Mbozi,anahitaji kurudi Morogoro manispaa au Mwanza Nyamagana.Idara Secondary.
Aliyetayari 0767969292 nimuunganishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…