WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari niko ktk halmashauri ya wilaya ya masasi mkoa wa Mtwara,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tabora,Mwanza,Geita na Dodoma.Aliye tayar nicheki 0682990903 au 0759550330
 
Nipo sumbawanga nataka kubadilishana na yeyote PWANI, DAR na MOROGORO idara sekondary Sumbawanga manispaa mjini. Tuwasiliane 0654029673
 
Kuna rafiki yangu yupo Kilindi Tanga idara ya elimu msingi anataka kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote toka mkoa wa Kilimanjaro.No.0687829764 au 0766560556.
 
njoo kaliua tabora nije singida nzega shinyanga geita kahama 0764417614 idara ya msingi
 
mwl.idara ya sec nipo songea namtumbo mjini shule nasuli alie tayari tubadilishana na mikoa kama njombe, iringa, mbeya (mby vjjn, mjini, mbozi, vwawa, momba) na morogoro
 
Anaetaka kuja halmashauri ya iringa kutoka mbeya vijijini,jiji,rungwe au mbozi idara sec
 
Mwl idara SEC yupo TANGA-BUMBULI mjini anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha DODOMA-CHAMWINO, KIBAHA MJINI,SINGIDA au KIROMBERO na IFAKARA.
Na 0756231236
0754019683
 
Mwl idara ya sekondari. Niko halmashauri ya KYERWA - KAGERA. NAOMBA KUBADILISHANA NA MWL. YEYOTE KUTOKA HALMASHAURI mojawapo ya mikoa ifuatayo: Njombe, Mbeya. Iringa, Dodoma, au Moro ni PM kwa 0766 742573 au 0683364141
 
Anaetaka kuja halmashauri ya iringa kutoka mbeya vijijini,jiji,rungwe au mbozi idara sec
 
Mwl DORISS yupo TABORA-SIKONGE Idara MSINGI anatafuta mwl mwenzake kutoka ARUSHA yoyote.
Na 0756231236
0763843259
 
kuna rafiki yangu yupo kilindi tanga idara ya elimu msingi anataka kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote toka mkoa wa kilimanjaro.no.0687829764 au 0766560556.

nilidhan idara ya sekondari ukimuona wa sekondar ni pm kunajamaa yangu anataka kuja tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…