WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ewe mwalimu uko tayari kuja Musoma municipal municipal nami nije Dodoma mjin au morogoro mjin au ifakara!kwa mawasiliano aid 0754750434
 
Anayetaka kuhamia mufindi iringa,idara ya sekondari awe anatoka bagamoyo,kibaha,mkuranga. Tuwasiliane.
 
Jamani mwenye kuelewa tarehe ya mwisho kutuma barua za kubadilishana vituo TAMISEMI anijuze pia na majina yanatoka lini ya wale waliokubaliwa kubadilishana
 
Njoo mpanda kwa pinda mi nije Iringa, morogoro town,singida town, kibaha,babati. idara ya msingi.
 
Ndg walimu,kwa yeyote aliyeko moro au pwani,anayetaka kuhamia wilaya sengeti mkoani mara tuwacliane mapema.
 
Jaman mimi niko ngorongoro nataka kubadilishana na mtu ambae yuko arusha mjini,wilaya ya monduli,arumeru,karatu,moshi mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…