kusini mkoa gani tubadlishane .
kusini mkoa gani tubadlishane .
Njoo Dodoma manispaa nikuje Arusha au Mwanza. Ni-pm.
Njoo Dodoma manispaa nikuje Arusha au Mwanza. Ni-pm.
njo nachingwea, lindi karibu sana na dar ,mkuranga harafu umeme maji huku ni uhakika
mimi ni mwalimu nipo mkoa wa Pwani,wilaya ya Rufiji.Idara ya elimu sekondari . Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje huku kutokea Kilimanjaro iwe Moshi mjini,Moshi vijijini,Hai,Sanya juu.
kwa mawasiliano piga 0718285764