WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nyie wa maswa hamtaki kwenu? anayetaka kuja maswa-mbalagane umeme upo, usafiri unapatikana usafiri wa kwenda mwanza ni wa uhakika kutoka njombe,mbeya. iringa, morogoro,arusha aniPM Wahi tuanze mchakato mapema.
 
kuna mwl. yupo idara ya msingi halmashauri ya mbalali anataka kuhamia tukuyu. nipm nikuunganishe haraka mwl. wahi mapema nafasi ni chache.
 
HESHIMA KWENU WANAJF,


Kwa mtu yeyote ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari anayetaka kubadilisha kituo cha kufanyia kazi kutoka kituo chake cha kazi cha sasa kwenda Ukerewe (Nansio Mjini), Mkoa wa Mwanza, anitafute kwa namba za simu zifuatazo: +255 714 001 694 (tigo) au +255 757 039 434 (voda).

SIFA ZA MWALIMU ANAYEHITAJIKA:

1. Awe anatoka katika kituo chake cha kazi cha sasa kutoka katika mkoa wowote ndani ya Tanzania, isipokuwa mikoa ya Kigoma, Rukwa, Kagera na Mara.

2. Hakuna kikwazo cha aina ya masomo anayoyafahamu au ana ujuzi nayo.

3. Awe ameajiriwa na Serikali, i.e shule za umma.


KARIBUNI NYOTE TUJENGE TAIFA LETU
 
ukitaka kuja iringa kilolo lakini sharti utoke mkoa wa pwani,mkuranga au temeke. Na uwe mwalimu wa sec.
 
Anayetaka kuja morogoro wilaya ya kilombero. Kutoka moshi,marangu au babati tuwasiliane kwa namb 0686387132
 
Anayetaka kuja kasulu idara ya sec aje niende babat,dodoma moro au maswa
 
Idara ya Sekondari Ona hii--------»»Upepo wa ziwa victoia Raha! Bukoba club, Linas club,New spice na maeneo kibao ya burudani na starehe, Biashara pia. Mkoboko, Njoge, Banana,Senene na Matoki. Njoo Bukoba manispaa mie nije Moro town au Mbeya city. E-mail yangu mangapimnyihalla@gmail.com
 
Nipo ukerewe(Nansio mjini) idara ya sekondari.Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es salaam.Mawasiliano piga 0757920263.
 
Njo arusha mi nije huko iringa njombe au songea fasta.0788628489 contact me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…