Mimi nataka SONGEA, RUVUMA,aje KWIMBA, MWANZA
oya mwl aje muheza town nije tanga jiji na hela juu nampa nicheki hapo 0752849328
Anayetaka kuja korogwe idara sec niende tanga au songea
Niko tanga kilindi kama kuna anehitaji kuja huku kutoka moro, mtwara, manyara, dodoma, lindi na pwani ani pm
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0682930078
mwalimu wa sekondari anayetaka kuja Songea manispaa,kutoka dar,kibaha na moro manispaa,nicheck 0787419289 call or sms