Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
ungekuwa idara ya msingi ningefurahi sana ukimpata huko nicheki 0753237373
Njoo Magu-Mwanza 0752796133.
niko mwanza wilaya ya kwimbaWewe uko wapi?
Maelezo hayajakamilika!
mimi mwl idara ya msingi nipo katavi-mpanda natafuta mwl wa kubadirishana nae aliyeko manispaa yeyote iliyopo jijin dar, pwan,moro mjin au wilaya yeyote iliyopo mkoa wa mbeyaWewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?