ezekiel gibson
Member
- Jul 26, 2014
- 16
- 0
kuna rafiki yangu yupo Mbeya wilaya ya Momba shule inaitwa Mpemba sekondari anataka kubadilishana na mtu wa Dar, Moro au Pwani. 0716 085 780
wale wa mwanza na shinyanga elimu ya msingi njooni kwenu mtwara
mwalimu yupo chunya mjini-mbeya anatafuta mtu wa kubadilishana nae tabora mjini au wilaya ya uyui.mawasiliano 0715237538 or 0762984278
Nipo ruvuma-namtumbo,karibu na songea mjn kama upo moro, babat au tanga na unataka kuja huku tuwasiliane