First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
kama una mtu wa tarime kapangiwa kusini nijuze kaka
sasa upo idara gan? mimi nipo korogwe tanga idara ya msingi nataka kuja huko
wazawa wa mtwara nipo masasi idara ya msingi natafuta mtu wa kubadilishana kutoka wilaya yeyote za mikoa ya arusha na kilimanjaro au wilaya ya muheza tanga
mawasiliano:
0757974776
mkumbwagm45@gmail.com
Walimu mnaotokea mikoa ya kusini lindi na mtwara rudini kwenu mnahitajika sana..kwanini hamtaki kurudi kwenu bana....mtu kwao bana.
nitafute kwa 0687829764