WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji naomba ani PM.
 
Mkazi wa Tabora... Kaliua unataka kurudi kwenu.... Njoo Huku mi nije Sumbawanga manispaa pekee...... Titi la mama ni tamu daima haliishi humu. -Shaaban Robert.... Ibrambeya@gmail.com
 
Njoo kibondo nije singida au dodoma idara ya sekondari au hata msing pia ni sawa.0767901201
 
Njoo mtwara mjini niende mwanza jiji, sengerema, geita na chato! Idara secondary, namba yangu n 0752892078
 
Hodi jaman. Natafuta Mwalimu wa sekondary aje rorya musoma Niko Tayar kwenda wilaya yeyote.
Njoo mtwara mjini nije mwanza jiji, sengerema au geita. idara sec. namba 0752892078, mtwara mjini kuzur ila nmemic kwetu
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati korogwe,handen, arusha
na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Nipo Urambo tabora nataka mwalimu wa kubadilishana nae aje urambo mi niende mbeya,iringa,njombe au sumbawanga mjini,mawasiliano 0766766663
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…