njoo Rungwe mbeya 0769765400
Natafuta mwl wa sekondar wa kubadilishana naye kituo aje gairo moro niende njombe
Haya sasa kazi nia kwenu walimu nyumbani ni nyumbani mkataa kwao mtumwa. Anahitajika mwalimu wa kubadishana kituo cha kazi kutoka Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Tukuyu, Busokelo, kyela,Iringa, Njombe, Morogoro, Iringa, kinondoni, chalinze, kibaha, kigamboni, manzese, mkuranga, Dodoma mjini, pwani,Tanga na Arusha kwenda Simiyu-Maswa idara secondari. Umeme upo na usafiri unapatikana. Wahi nafasi ni adimu. Kwa mwenye uhitaji anipm au anitext 0768885000. UPATAPO UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZAKO MWENYE UHITAJI. NAKUTAKIA USHIRIKIANO MWEMA.
ntaftie anaetaka kuja mufindi iringa nije mvomero
Jamani hakuna anae taka kuja Ilala?
Jamani hakuna anae taka kuja Ilala?
Jamani hakuna anae taka kuja Ilala?
Nipo Urambo tabora nataka mwalimu wa kubadilishana nae aje urambo mi niende mbeya,iringa,njombe au sumbawanga mjini,mawasiliano 0766766663
Njoo kiomboi-iramba nije mbarali mbeya 0762078708
nopo tueadiliane 0767292827
-------------Ya kweli hayo?Kuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.