WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

npo rombo kilimanjaro nahtaj mtu wa kubadilishana nae niende arusha idara ya sekondari.
0767287023.
 

Dogo inaelekea umepigika kisawasawa. hata Katavi na Singida unazitaka ? vipi huko Buhigwe kuna wanga sana ? Au umechoka kula samaki ?
 
Jamani muda unayoyoma,wakuja Kagera mimi nije Rufiji,Kilosa,Mvomero,Turiani,Kilombero,Handeni,Korogwe,simu 0652 594252,Idara ya Sekondari.
 
Mwl nipo Mtwara idara msingi natafuta mwl wa kubadirishana kutoka MBEYA,IRINGA,MOROGORO,NJOMBE
0768948179
0689976850
 
Nipo Singida mjini Idara ya secondary nataka kwenda Dom mjini 0763257500
 
Mwalimu nipo Singida mjini idara ya sec nataka kuhamia Dodoma mjini Kwa aliye tayari kuna fedha taslimu 0763257500
 
Elimu secondary njoo morogoro manispaa nije temeke,ilala,au kinondoni
 

Naitwa Kayuni nataka kubadilishana na mwalimu aliyeko Mbeya jiji aje Mwanza jiji(Ilemela).tuwasiliane kupitia namba 0786449744 au 0759046101 ,idara ya sekondari
 
Njoo Geita- Mbogwe nije Pwani- Mkuranga (Elimu ya Msingi).......
find me via PM
 
Niko kiteto -Manyara!nahitaj kwenda kondoa,morogoro,iringa,mbeya,mwanza,kahama!nichek 0682924291
 
Mwl idara msingi YUPO KILINDI TANGA anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha MORO,IRINGA,NJOMBE,PWANI,KOROGWE,MUHEZA AU TANGA TOWN.
No.0712880969
 
Jameni kwa wale Wa Rukwa na maeneo jiran njoo halmashaur ya Kalambo nije halmashaur yoyote ya Tanga, Kilimanjaro ama Arusha. idara msingi. 0764142047 nicheck hapa
 
nitafutie mwalimu anayetoka pwani anataka kuja Geita..., ngoja nikutafutie mwl anayetaka kuja arusha toka k'njaro
 
Njoo Geita,, nije Pwani wilaya yeyote... i.e Mkuranga, Kibaha, Kisarawe etc.... aliye na uhitaji ani PM fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…