WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Kagera nije Kilombero,Mvomero,kilosa,Morogoro (v),Turiani,Handeni.Korogwe,Rufiji,Iringa,idara sekondari.
 
Ndugu walimu, kuna ndugu yangu mwalimu(msingi) yuko Ukerewe anahitaji mtu wa kubadilishana nae kuja wilaya yoyote ya mkoa wa Pwani,( mkuranga, Rufiji, kibaha, Bagamoyo na Kisarawe), na hata Dar na Morogoro.

kwa aliye tayari anaweza niPM au kuniandikia kupitia email. Ngonyani@naij.com
 
wewe mwalimuu wa shule ya msingi kutoka
Kibaha
Kisarawe
Mkuranga
Kilwa
Morogoro
Dar na wilaya zote za Pwani?

NJOO GEITA BUKOMBE /MBOGWE NIJE HUKO NILIPOPATAJA
Contacts +255788425098 au +255756952109

 
Teacher kutoka Mtwara idara msingi anahitaji kwenda Mbeya Iringa Songea Njombe Rukwa Katika wilaya yoyote mikoa hiyo 0768948179
 
natafuta mwl wakubadilishana naye kituo cha kazi aje NZEGA NA MIM NIENDE GEITA WILAYA YA BUKOMBE alixeko tayar anitafute NO;0758405749

Ndugu... tafuta mtu wa mikoa ya Morogoro (manispaa au JIRANI YAKE), Pwani wilaya yeyote au dar atakayekuwa tayari kuja Nzega ili mimi niende huko pwani wewe uje Bukombe au Mbogwe. call +255788425098 au +255756952109 idara ya msingi...
 
Mimi ni mwalimu nio Lindi Kilwa namtafuta mwalimu wa kubadilishana naye, akiwa Dar es salaam, Morogoro Manispaa, Mwanza Jiji au Kibaha manispaa no yangu ni 0682744536

Njoo geita mbogwe mimi nije kilwa lindi tubadilishane,,,, uhamisho ni mgumu sana hvo tusaidiane tu mkuu PM au call +255788425098
 
mimi sio tapeli ila wajanja wamenielewa ngoja nipige nao mishe hawa wachache wenye uelewa ktk kundi kubwa la wajinga

wewe ni tapeli jasir na king'ang'aniz uachi tu hayo maneno yako ya kipuuzi siukafanye kaz zingine kwan lazima uwe tapeli.
 
jama walim kuweni makin na huyu msokota bangi sio mtu mzur ni tapeli aliye tumia njia ya kujipambanua ili kujiaminisha kwa walimu kuwa anaweza, hana lolote tamisemi sio kampuni ya yaka huyu ni mwizi wazi kabisa.
 
Mimi niko OLD SHINYANGA nataka kwenda MWANZA hata wirayani. Kama upo tayar ntafute, ni secondary 0756887831
 
Nani anataka kuja Serengeti Mara;ili mdogo wangu aende Morogoro;Mwanza;Dar;Kahama?nicheki kwa 0787/350747
 
Aliyekuwa tayari kuja geita mimi niende mkoa wa kilimanjaro wilaya yeyote idara ya msingi tuwasiliane
 
Mwl wa geita hasa Wilaya ya bukombe geita mjin singida,kahama mjin mwanza na dodoma njoo Kasulu idara ya sec

WEWE WA Kasulu, mimi nipo Geita mbogwe... nitafutie wa kanda ya Pwani, Moro au Kilwa ukimpata ani- PM au atumie +255756952109 au +255788425098
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…