Nipo Kilindi nafuta wakubadilishana nae kutoka Bagamoyo au Dar es salaam,idara ya sekondari
Kwa anayetaka kubadilishana njoo GEITA MJI mimi nije kati ya TANGA JIJI,MOROGORO MJI,HAI MJI na MKINGA,(idara sekondari).
Natafuta wa kuja laela sumbawanga idara ya sekondary niende mbeya
njoo kigoma mjini nije dodoma mjini au morogori
Njoo kasulu niende korogwe,babati au mwanza.idara ya sec
hujaona tangazo langu? Ni pm tucheze dili
hujaona tangazo langu? Ni PM tucheze dili
KWAWALE WA TANGA KILINDI, IDARA YA MSINGI, KUTOKA TABORA MANISPA,SHINYANGA MANISPAA, KAHAMA MJINI,MWANZA JIJI,DODOMA MJINI,KIBAIGWA,MORO WILAYAZOTE,IRINGA WILAYA ZOTE,PWANI WILAYA ZOTE,NJOMBE MJINI AU MAKAMBAKO kunawatu wanaitaji kujahuko kutoka kilindi, mm nimeisha pata, kama ukotayari no.0712880969 zingatia maeneo niliyo yataja tu
njoo rungwe kakanjoo singida wilaya ya iramba idara ya secondary mimi nije arusha wilaya yoyote. Matapeli msinitafte kwani humu kuna watu matapeli so walimu muwe makini wanapopiga simu na kudai wanaweza kukusaidia kuhama ila uwe na mkono mwepesi au maji.