Wale wa mtwara na mikoa ya kusini kwa jumla ambao mpo mkoa wa Tanga.NJOO NEWALA-MTWARA mimi nije MKOA WA TANGA ktk halmashauri ya TANGA JIJI,MUHEZA,LUSHOTO,KOROGWE,KILINDI,BUMBULI AU MKINGA.Kwa mawasiliano naomba nitafute ktk namba 0783677207,0767665619 au 0717765619. Ahsanteni walimu wenzangu
Mimi ni mwalimu Idara ya Secondary natafuta wa kubadirishana nae awe anatokea mikoa ya Morogoro,Iringa,Pwani na Mwanza mimi nipo Halmashauri ya Bukoba...0765521169
njoo dodoma mjini (manispaa) mimi nije babati mjini, moshi manispaa, morogoro manispaa, hai-kilimanjaro
kama upo tayari 0758121353, 0684533627, 0717690221