Mr. Mwalimu
Member
- Nov 21, 2014
- 9
- 0
njoo morogoro mjini
Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya sekondari,mimi nipo same nahitaji kwenda wilaya kati ya moshi (m),hai au arusha (m)
tuwasiliane kwa namba
0683874863
Idara Secondory
Natafta mwl.wakubadilishana nae kutoka mkoa wowote ule wa kanda ya kaskazini au kanda ya kati
Aje wilaya mpya ya kalambo-rukwa
Phn: 0763240278
Waiting for ur response!
Idara ya Secondary, aje mwalimu Muheza mjini, nije Moshi(municipal/rural)
Nishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....
Nishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....