Njoo Newala Mtwara mimi niende wilaya yoyote ya MKOA WA TANGA idara ya SEKONDARI.KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0783677207,0767665619 na 0717765619.PIGA AU TUMA SMS FASTER NITAKUJIBU
Mwalimu Idara ya sekondari ambaye yupo Katika Wilaya yoyote tuwasiliane kama kuna uwezekano aje wilayani KIBONDO mimi niende alipo yeye . mawasiliano 0717551050
Mwalimu wa secondary kama upo interested na Kibiti, Pwani pana umeme, maji na karibu sana na Dar...
Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka sehemu zifuatazo:-
TANGA mjini
MUHEZA mjini
KOROGWE mjini
PANGANI mjini
DODOMA mjini
MOROGORO mjini
MWANZA mjini
mm ni mwalimu nipo mbeya mjini anayetaka tubadilishane nae kituo cha kazi mimi nije ilala dar es salaam idara ya secondary. aliye interested nitafute kwa no hii 0753692508 au 0713130550 unaweza ni pm.pia