WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Natafuta mwl wa kubadilishana mkoa wa kufanyia kazi katika idara ya sekondari aje singida mimi niende iringa au njombe namba yangu ni 0758555039
 
Mwl Dickson kiponda anatafuta mwl wa kubadilishana mkoa wa kufanyia kazi katika idara ya sekondari yeye aende iringa au njombe wewe uje singida namba yangu ni 0758555039
 
mwl anna anatafuta mwl wa kubadilishana
nae awe kati ya mkuranga kibaha dsm yeye aje wolaya ya rorya elimu selondari 0689577257
 
mwl idara ya seco npo tabora nataka mtu wa mbey jiji au iringa manispaa nichek 0768711411
 
Aliye tayari kuja Kondoa Dodoma niende Manyara,Arusha, Kilimanjaro au Tanga ani Pm tuongee
 
Nipo busega mjini karb na mwanza city njoo mimi nije mkoa wa pwani kati ya mkuranga, kisarawe au kibaha idara secondary.kwa mawasiliano 0713007615 au 0768560009
 
nipo ukerewe mwanza natafuta mwalm wakubadlishana nae idara ya sec. aje ukerewe mi niende wilaya yoyote mikoa ya manyara. arusha, na kilimanjaro anitafute kuptia 0752807090 au 0654529848
 
MWL idara sec yupo Tabora manispaa anatafuta mwenzake wa kubadilishana nae kutoka kutoka
Mbeya popote
Iringa jiji au
Moro jiji
No: 0768711411
 
Njoo GAIRO-MORO mm nije kibaha,mkuranga,bagamoyo na DAR, Idara ya sec nichek kupitia 0683 090113
 
Njoo Magumjini MWANZA idara ya msingi mimi nije Kibaha, Mkuranga , Bagamoyo, Morogoro.. 0682 279435, 0688 930996.
 
Anayetaka kuja lindi mimi niende tanga kibaha mkuranga morogoro manyara Arusha moshi same hai rombo popote kati ya huko anichek kwa no 0763520239. Idara ya msingi
 
Heshima kwenu wakuu.
Kaka yangu ni mwalimu wa sekondari katika masomo ya kiswahili na history wilaya ya kyela mkoa wa mbeya anahitaji kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu mwingine katika mikoa au maeneo ya morogoro mjini, makambako, dodoma mjini na iringa mjini.
Kwa alie katika sehemu hizo na angehitaji kubadilishana kituoa cha kazi tuwasiliane. Ndugu yangu ni mwalimu mwenye degree.
 
nipo kilindi tanga idara sekondari ninatafuta wa kubadilishana nae kutoka mtwara(m) aje kilindi 0786043373
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…