mimi ni mwalimu idara ya secondari nipo wilaya ya kibondo mkoani kigoma hapa almashaur shule ipo kilometa 5 kutoka almashaur nafuta wa kubadilishana nae niamie eiza DAR, MOROGORO MJINI, KIBAHA, TANGA MJINI, KISARAWE PWANI, MKULANGA PWANI
tuwasiliane 0682746574/0713391363
Anaetaka kuja wilaya ya kiteto kuna waalimu wanafundisha kiteto secondary mmoja anataka iringa au mbeya na mwingine anataka wilaya ya kahama mwenye maitaji yakuja uku kutoka sehemu nilizo zitaja ani PM ili nimuunganishe nao