WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo mahenge/ulanga mkoani morogoro mimi nije babati au jiji la arusha au hata dar es salaam.idara secondary
 
mwl. idara ya sekondar nipo sumbawanga. laela natafuta mwl wa kubadilishana toka Mbeya jiji. MBEYA vijijni..kyela ..rungwe ..
 
NJoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,nami nije DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI,Idara sekondari:Mawasiliano:0756021311 AU 0716264618
 
Njoo Halmashauri ya wilaya ya NEWALA-MTWARA mimi nihamie halmashauri yoyote ndani ya mkoa wa TANGA,IDARA YA SEKONDARI.Kwa mawasiliano zaidi nitafute ktk namba 0783677207
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo musoma manispaa mi nije arusha.Dodoma.tanga.moshi.dar.mwanza au Moro(manispaa) 0763270623,0714549101.idara msingi
 
Njoo mtwara manispaa nije mwanza, geita, chato au sengerema. idara sekondari, mawacliano 0652620272
 
Anaetaka kuja wilaya ya kiteto kuna waalimu wanafundisha kiteto secondary mmoja anataka iringa au mbeya na mwingine anataka wilaya ya kahama mwenye maitaji yakuja uku kutoka sehemu nilizo zitaja ani PM ili nimuunganishe nao
0763240278 em ntafute tuangalie michakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…