imabango1986
Member
- Aug 20, 2013
- 18
- 7
Niko secondary Rungwe Mbeya nataka kwenda Dar. Pm please
Mpe hai mwl mgegwa, isakwisa na mwl swilla. njoo kigonsera-mbinga me nije rungwe.
Isakwisa saiv jiran yake,nilisikia kawa headmaster wa ukukwe
Ndugu wana JF, naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kutoka mkoa mmoja hadi mwingine. Msaada tafadhali.
Ha mkuu tbl Isakwisa kawa mkuu Ukukwe! mtangulizi wake ukukwe alikuwa mlevi balaa kastaafu nini!
Kwa mwalimu Alieko Morogoro kama unataka kuhamia Lushoto usisite kuni tafuta,lushoto ni mji wenye fursa na neema Kibao, COME AND ENJOY THE BEUTY OF USAMBARA.
Singida vipi?