mm niko mwanga kilimanjaro natafuta mwalimu wa kubadilishana naye
 
mi nipo dar natafuta mtu wa kigoma au sumbawanga tubadilishane nae. mwl secondary
 
habari zenu wana jf.kama wewe ni mwalimu wa shule ya msingi katika mkoa wa Dodoma naungependa kuhama kituo cha kazi kutoka Dodoma kuhamia mkoani Mara kwa kubadishana naomba tuwasiliane.asenteni.
 
Mimi nipo wilaya ya mbinga natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka wilaya ya Rungwe au Mbeya vijijini. mwl sec.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…