Mzalendo92
Senior Member
- Dec 29, 2014
- 177
- 5
Njoo mza nyamagana nije popote ulipo mkoa au wilaya
habari nisaidie aje mtu wa idara ya msingi hapa Mkuranga pwani...mi nije huko Mtwara manispaa....nami nitakusaidia.....0752599066
Anatafuta mtu wa kubadilishana nae, njoo chunja (Babati, Iringa mji, Songea mjini,) idara ni msingi, mawasiliano ni 0765185975
Njoo Ruangwa Lindi ni karibu sana songeaKuna mwl yupo Itumba Ileje Mbeya anatafuta mwl wa kubadilishana nae wa Songea (m),Songea(v),au Mbinga,idara msingi.Mawasiliano ni 0763048477