WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwl yupo Tabora DC idara mcng anatafuta wa kubadilishana aende mikoa ifuatayo
Rukwa
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Ruvuma
Wilaya yoyote ktk mikoa hiyo

0689976850
 
Njoo morogoro-ulanga shule iko karibu na ifakara town nauli 2000 nije dar au pwani wilaya yoyote 0767292827/0785797504/0716171114
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
njoo wilaya ya handeni mkoa wa Tanga nije
mkuranga
kibaha
kisarawe
bagamoyo
temeke
ilala
kinondoni
idara sec
0786475050.
0715475050
 
Kuna mwalimu anaitwa wisdom nsajigwa yupo mkoa geita wilaya ya nyang'wari anaomba kubadilishana na mwalim yoyote aliye kati ya mkoa wa rukwa,iringa,njombe,au Mbeya,kwa mawasiliano nae piga namba 0757 356 091, please help this man
 
Ruangwa Lindi, to
Morogoro
Iringa
Njombe
Makambako
Mbeya.
Idara msingi.
Cont:
0769831015
0757212210
 
Mwl idara sec yupo MWANZA-KWIMBA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka MANYARA-BABATI
No:0756389323
 
Kuna mwl yupo Itumba Ileje Mbeya anatafuta mwl wa kubadilishana nae wa Songea (m),Songea(v),au Mbinga,idara msingi.Mawasiliano ni 0763048477
Njoo Ruangwa Lindi ni karibu sana songea
Cont
0757212210
0769831015
 
Back
Top Bottom