Njoo halmashauri ya iringa mimi nije pwani halmashauri ya mkuranga, kisarawe, bagamoyo, kibaha...... 0653795210
 
Njoo kibaha karibu na morogoro na dsm mm nije arusha...ni pm kma utaridhia


kibaha upande gani mkuu kama ni hapo town njoo hapa moshi chaaap arusha buku 2500 tu na kupata mtu wakubadilishana naye moshi to arusha ni faster tu
 
njoo kilindi tanga mwalimu aje busega au bariadi mkoani simiyu.....idara sec wasiliana nae kwa 0686 081 819
njoo tunduru mwalimu aje songea au mbinga au nyasa au namtumbo idara msingi wasiliana nae kwa 0685 912 514,,,
njoo buhigwe kigoma mwalimu aje songea au mbinga idara sec...wasiliana nae kwa 0654 984 547...

 
njoo kilindi tanga mwalimu aje busega au bariadi mkoani simiyu idara sec...wasiliana nae kwa ...0686 081 819
Njoo buhigwe kigoma mwalimu aje mbinga au songea idara sec ....wasiliana nae kwa 0654 984 547
Njooo tunduru ruvuma mwalimu aje songea ...au namatumbo au nyasa au mbinga idara msingi...wasiliana nae kwa 0685 912514
 
Kuna mwalumu yupo dom mjini anataka kuludi Manispaa ya irnga,idara ya sekondari aliye tayali amcheki 0755009031
 
Unaweza kuniconnect na mwl alye busega au bariadi anayetaka kuja bukoba(w)?kuna mwl yuko uku bukoba anataka kuja simiyu,idara seco!0769027920/0656803210
 
mwl yuko bukoba anatafuta mwl alye manyara,simiyu au shinyanga,idara seco,0769027920/0656803210
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…