WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu Secondary nipo KILIMANJARO nataka kubadilishana na Mwalimu kutoka IRINGA, Tuwasiliane kwa namba 0759 968318
 
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi anaye fundisha shule ya msingi mimi nipo himashauri ya Njombe vjijini naitwa mwalimu Joseph Petro Mjemah .Nahitaji aliopo mkoa wa Morogoro 'Tanga au Kilimanjaro same namba yangu ya simu ni 0762 99 26 53
 
kaka yangu anahitaji wa kubadilishana nae kituo cha kazi ujumbe wake nikama ifuatavyo:
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi anaye fundisha shule ya msingi mimi nipo himashauri ya Njombe vjijini naitwa mwalimu Joseph Petro Mjemah .Nahitaji aliopo mkoa wa Morogoro 'Tanga au Kilimanjaro same namba yangu ya simu ni 0762 99 26 53
 
kwa mwalimu yeyote aliyeko BABATI MJINI anayehutaji kuja SINGIDA sekondari'shule ina form one mpk form 6' very close to Dodoma' contact 0757 784476
 
Natafuta mwl wa sekondari wa kubadilishana kutoka wilaya za mwanza au kigoma mjini aje wilaya ya Ngorongoro shule ya Embarway.Mawasiliano 0764 735 888.
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
DODOMA
MOROGORO
Idara ya msingi
0785,077035
0653 351265
0753 629314
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
DODOMA
MOROGORO
0785 077035
0653 351265
0753 629314
Idara ya msingi
 
Halord M.Lunyungu nipo wilaya ya ulanga mahenge Morogoro hapa,,njoo mie nije hapo katika maeneo haya,,Njombe sehemu yeyote,,Songea sehem yeyote,,Rukwa mjini,,Iringa sehemu yeyote,,mbeya sehemu yeyote. Tanga sehemu yeyote.Idara elimu sekondari.0787914799.
 
Nipo Tabora Manispaa, Milambo boys high school, nataka kubadilishana na Mwl. wa sekondari yoyote kutoka Mtwara manispaa, Lindi manispaa na Masasi mji. Documents muhimu ninazo, kwa anayehitaji aniPM
 
Mimi Mwalimu. Almas Rwamiye wa kituo cha kazi Mfuru Secondary iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani naomba kubadilishana kituo na Mwalimu yoyote wa secondary kutoka wilaya za Morogoro Mjini, Morogoro vijijini au Mvomero za Mkoa wa Morogoro. .... Naomba tuwasiline kupitia 0785966721.....0766163613....0654209661.......Ukipata ujumbe mjuze na mwenzako. Asante!!!
 
nataka kuhamia nyamagana idara ya sekondari Mimi npo sengerema
mawasiliano:0752530592
 
mwalimu nipo MASWA SIMIYU NAHITAJI MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KUTOKA MBEYA WILAYA YOYOTE IDARA YA SECONDARI 0756945368
 
Back
Top Bottom