WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi Mwalimu Almas Rwamiye wa kituo cha kazi Mfuru Secondary iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani naomba kubadilishana kituo na Mwalimu yoyote wa secondary kutoka wilaya za Morogoro Mjini, Morogoro vijijini au Mvomero za Mkoa wa Morogoro. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiline kwa namba zangu 0785966721..... 0766163613..... 0654209661.... Ukipata ujumbe mjuze na mwenzako..... Asante!!!
 
Mwalimu ANITHA wa GEITA MJI,Shule ya Sekondari Kalangalala,anatafuta Mwalimu wa kubadilisha naye kituo cha kazi kutoka Morogoro Manispaaa.

Kama kuna Mwalimu yupo tayari wawasiliane kwa simu namba 0719-222 132.
Mwalimu wa GEITA MJI, anatafuta Mwalimu wa kubadilisha naye kituo cha kazi kutoka Morogoro Manispaaa mbeya au iringa.Kama kuna Mwalimu yupo tayari wawasiliane kwa simu namba 0719-222 132.
 
Mwalimu wa GEITA MJI,Shule ya Sekondari Kalangalala,anatafuta Mwalimu wa kubadilisha naye kituo cha kazi kutoka Morogoro Manispaaa.<br /><br />Kama kuna Mwalimu yupo tayari wawasiliane kwa simu namba 0719-222 132.
 
Natafuta Mwl wa kibadirishana naye idara ya sec, yeye aje halmashauri ya mji Kasulu mm niende kahama, msalala au mwanza wilaya yoyote: 0766803716 au 0752485989
 
idara ya Secondary Aliye tayari tubadilishane, Aje Msoma mi nije Morogoro, Pwani, kisarawe ama Dare salaam! 0714138846
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi
Idara ya Secondary, AJE Halmashauri ya Serengeti MUGUMU NIJE
DAR, PWANI, MOROGORO, MWANZA, KAHAMA,
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi
Idara ya Secondary, AJE Halmashauri ya Serengeti MUGUMU NIJE
DAR, PWANI, MOROGORO, MWANZA, KAHAMA,
Kuna thread special kwaajili yenu. Imetiwa mpaka sticky. Kule mtu anaweza soma na ikwa rahisi kukutafuta. Tofauti na hapa inaweza onekana siku mbili tatu afu ikapotea!
 
Njoo Arusha DC mm nije MOROGORO manispaa.idara sekondari.nafundisha ILBORU sec.0658221998,0764776655
 
Mimi mwalimu wa sekondari nipo mkoa mpya wa Simiyu...

Nataka kuhamia mkoa wa DSM wilaya yoyote.... ama wilaya ya Kibaha!
 
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654-425007/0767-425007
 
Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga, kisarawe, bagamoyo, kibaha, kibaha idara ya sekondari 0653795210
 
Njoo iringa dc
Nije pwani
Wilaya ya
Mkuranga
Kisarawe
Kibaha
Bagamoyo
Rufiji
0653795210 0718145989 idara ya sekondari
 
Naitwa mwl Shukurani W.Samwel mwalimu wa shule ya msinginiko mkoa wa mtwara wilaya ya masasi. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Mara,Geita au Mwanza kwa yeyote aliyeko tayari tuwasiliane
 
Back
Top Bottom