Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu wa GEITA MJI, anatafuta Mwalimu wa kubadilisha naye kituo cha kazi kutoka Morogoro Manispaaa mbeya au iringa.Kama kuna Mwalimu yupo tayari wawasiliane kwa simu namba 0719-222 132.Mwalimu ANITHA wa GEITA MJI,Shule ya Sekondari Kalangalala,anatafuta Mwalimu wa kubadilisha naye kituo cha kazi kutoka Morogoro Manispaaa.
Kama kuna Mwalimu yupo tayari wawasiliane kwa simu namba 0719-222 132.
Kuna thread special kwaajili yenu. Imetiwa mpaka sticky. Kule mtu anaweza soma na ikwa rahisi kukutafuta. Tofauti na hapa inaweza onekana siku mbili tatu afu ikapotea!Natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi
Idara ya Secondary, AJE Halmashauri ya Serengeti MUGUMU NIJE
DAR, PWANI, MOROGORO, MWANZA, KAHAMA,