WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
O
Mimi Mwalimu. Almas Rwamiye wa kituo cha kazi Mfuru Secondary iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani naomba kubadilishana kituo na Mwalimu yoyote wa secondary kutoka wilaya za Morogoro Mjini, Morogoro vijijini au Mvomero za Mkoa wa Morogoro. .... Naomba tuwasiline kupitia 0785966721.....0766163613....0654209661.......Ukipata ujumbe mjuze na mwenzako. Asante!!!
Ingia Jukwaa la Elimu humu umepotea
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
DODOMA
MOROGORO
0653 351265
0785 077035
0753 629314
Idara ya msingi
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
DODOMA
MOROGORO
0653 351265
0785 077035
0753 629314
Idara ya msingi
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae, aje Mkoa wa Kagera mi nije Mwanza au Geita.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi Rombo natafuta mwalimu aliyeko Dar es Salaam tubadilishane ahamie Rombo na mimi nihamie Dar es Salaam. Kwa mawasiliano namba 0763686230
 
Back
Top Bottom